Kilöyöp
Mandhari
Kilöyöp (pia Kilehalurup) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Walöyöp kwenye kisiwa cha Ureparapara. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kilöyöp imehesabiwa kuwa watu 250. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilöyöp iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kilöyöp kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilöyöp Ilihifadhiwa 3 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kilöyöp katika Glottolog
- lugha ya Kilöyöp kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilöyöp kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |