Kiila

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiila (lugha))

Kiila ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Waila. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiila imehesabiwa kuwa watu 71,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiila iko katika kundi la M60.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiila kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.