Kigezo:Filamu 2
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kigezo:Infobox Film)
Sanduku la habari la filamu 2 linaweza kutumika kwa kufupishia habari kuhusu filamu.
Matumizi
[hariri chanzo]Sanduku hili linaweza kuwekwa kwa kukopi hayo maeelezo ya hapo chini na kwenda ku-pesti juu kabisa ya makala. Uga zote ni za hiari; kila uga ambayo itakuwa haijatumika inatakiwa iachwe au ikiwezekana ihondoshwe (usiondoe uga endapo ukijiona huna uzoefu wa kufanya hivyo au matumzi ya zana za wiki).
{{Filamu 2 | jina = | picha = | ukuwa_wa_picha = | maelezo_ya_picha = | mwongozaji = | mtayarishaji = | mtunzi = | mwadithiaji = | nyota = | muziki = | sinematografi = | mhariri = | msambazaji = | imetolewa = | muda = | nchi = | lugha = | bajeti = | mapato = | imetanguliwa_na = | ikafuatiwa_na = }}