Nenda kwa yaliyomo

Kiayizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiayizi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiayizi imehesabiwa kuwa watu 50 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiayizi iko katika kundi la Kingwi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiayizi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.