Kiamis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiamis-Nataoran)

Kiamis ni lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan inayozungumzwa na Waamis. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiamis imehesabiwa kuwa watu 138,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiamis iko katika kundi la Kiformosa-Mashariki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikipedia
Wikipedia
Kiamis ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiamis kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.