Kaizari Matthias
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kaisari Matthias)
Matthias (24 Februari 1557 – 20 Machi 1619) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1612 hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake, Rudolf II, na kufuatiwa na Ferdinand II.
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Ujerumani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Matthias kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |