Juma Athumani Kapuya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Juma Athuman Kapuya)
Rukia: urambazaji, tafuta

Juma Athumani Kapuya (amezaliwa tar. 22 Juni 1945) ni mbunge wa jimbo la Urambo Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Juma Athumani Kapuya (1 Februari 2007). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.