John C. Calhoun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka John Calhoun)
John Calhoun

John Caldwell Calhoun (18 Machi 178231 Machi 1850) alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais John Quincy Adams, halafu chini ya Rais Andrew Jackson kuanzia mwaka wa 1825 hadi 1832 alipojiuzulu. Mwaka wa 1844 aligombea urais yeye mwenyewe lakini akashindwa na James Polk.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John C. Calhoun kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.