Isparta
Mandhari
(Elekezwa kutoka Jimbo la Isparta)
Isparta ni jina la mji uliopo magharibi mwa nchi ya Uturuki na ndiyo mji mkuu wa Mkaoa wa Isparta. Takriban watu 250,000 wanaishi mjini hapa. Mji upo mita 1035 kutoka juu ya usawa wa bahari. Jina lingine la mji ni "Mji wa Miuaridi". Katika majina ya Kituruki cha kale, hayakuanza na SP, hivyo yalianza na "I" kama jinsi ilivyowekwa kwa mbele wakati wa kutamka "Sparta", na sasa inaandikwa na kutamkwa kama "Isparta".
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Wikisource ina maelezo kamili yahusianayo na makala hii:
- Hunt for clues in Turkish crash
- Isparta Guide and Photo Album,document Archived 5 Machi 2021 at the Wayback Machine.
- Sav Kasabası, village in Isparta Archived 18 Aprili 2012 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Isparta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |