Fatuma Mussa Maghimbi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Fatma Mussa Maghimbi)

Fatuma Mussa Maghimbi ni mbunge wa jimbo la ChakeChake katika bunge la taifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CUF.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Fatuma Mussa Maghimbi". 25 Aprili 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011. 

Viungo vya nnje[hariri | hariri chanzo]