Elías Díaz Peña

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Elias Díaz Peña)

Elias Diaz Peña ni mwanamazingira kutoka Paraguay. Alitunukiwa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mnamo 2000, kwa pamoja na Oscar Rivas, kwa jitihada zao za kulinda mazingira ya Mto Paraná na Mto Paraguay.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "South & Central America 2000. Elias Diaz Peña & Oscar Rivas. Paraguay. Rivers & Dams". Goldman Environmental Prize. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 May 2011. Iliwekwa mnamo 8 January 2011.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elías Díaz Peña kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.