Nenda kwa yaliyomo

Bruna Furlan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Bruna furlan)

Bruna Dias Furlan amezaliwa 28 Aprili 1983 ni mwanasiasa na mwanasheria wa Brazil. Ametumia kazi yake ya kisiasa akiwakilisha São Paulo , akihudumu kama mwakilishi wa serikali tangu mwaka 2011.

Maisha binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Furlan alizaliwa na Rubens Furlan na Sonia Dias.Baba yake pia ni mwanasiasa. Kabla ya kuwa mwanasiasa, Furlan alifanya kazi kama mwanasheria. Furlan ana shahada ya uzamili kutoka Universidade Paulista (UNIP).

Kwenye umri wa miaka 27, Furlan alikuwa mwakilishi mdogo zaidi aliyechaguliwa katika Uchaguzi Mkuu wa Brazil wa mwaka 2010 akiwa na miaka 27.Furlan alikuwa naibu kiongozi wa Chama cha Demokrasia ya Jamii cha Brazil (PSDB)

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bruna Furlan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.