Örebro
Mandhari
Örebro ni mji kubwa nchini Uswidi. Ni mji mkubwa wa saba katika nchi wa Uswidi. Kuna wakazi 130,000 (mwaka 2005). Iko kando ya Mto Svartån (mto meusi). Kuna pia Chuo Kikuu cha Örebro.
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Eneo lake ni 42.96 km².
-
Mnara wa maji Svampen (uyoga)
-
Duka la vitabu
-
Chuo Kikuu cha Örebro
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Örebro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |