Zhengzhou
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Zhengzhou | |||
|
|||
| Nchi | China | ||
|---|---|---|---|
| Jimbo | Henan | ||
| Idadi ya wakazi | |||
| - Mji | 4,362,800 | ||
| Tovuti: www.zhengzhou.gov.cn | |||
Zhengzhou (郑州) ndiyo mji mkuu katika jimbo la Henan. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao milioni 7.2 wanaoishi katika mji huu.
| Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Zhengzhou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |