Zanzibar Ocean View F.C.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Zanzibar Ocean View Football Club ni klabu ya soka (mpira wa miguu) kutoka Zanzibar yenye maskani yake mjini Unguja. Ziliundwa mwaka wa 2010 kama upande uliojitenga kutoka Miembeni S.C.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]