Zakes Mda
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Zakes Mda (amezaliwa 1948 mjini Herschel na jina kamili Zanemvula Kizito Gatyeni Mda) ni mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa amejulikana kwa tamthiliya zake.
Maandishi yake [hariri]
- Dead End (1979)
- We Shall Sing for the Fatherland (1979)
- Dark Voices Ring (1979)
- The Hill (1980)
- The Road (1982)
- And the Girls in their Sunday Dresses (1993)
- When People Play People: Development Communication through Theatre (1993)
Angalia pia [hariri]
Marejeo [hariri]
- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Zakes Mda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |