Yun Hyon-seok
Mandhari
Yun Hyon-seok(Kikorea:윤현석 尹賢碩) (7 Agosti 1984 - 26 Aprili 2003) alikuwa mwanaharakati wa haki za binadamu, mshairi na mwandishi wa nchi ya Korea Kusini.
Alikuwa na jina la utani Yukwudang(육우당 六友堂, Marafiki sita nyumbani[1]), Sulheon(설헌 雪軒), Midong(미동 美童[2], uzuri kijana).
Alizaliwa mjini Byupyong, mkoani Incheon, kwenye pwani ya Korea Kusini.
Alikufa kwa kujinyonga jijini Dongdaemun wa Seoul, kwa sababu maandamano ya homo phobia wa Korea Kusini.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ “내 혼은 꽃비 되어” 참세상 2006.04.26 (Korea Kusini)
- ↑ 죽음으로 마감한 ‘커밍아웃’ Ilihifadhiwa 13 Desemba 2013 kwenye Wayback Machine. 시사저널 2003.05.15 (Korea Kusini)
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Protecting sexual minorities Koreatimes 2013.08.23 (Kiingereza)
- Queer Rights Activists in South Korea Step Up Efforts to Support LGBTQ Youth Ilihifadhiwa 6 Machi 2014 kwenye Wayback Machine. (Kiingereza)
- "가식적인 기독교에 깨달음을"…어느 10대의 죽음 프레시안 2013.04.21 (Korea Kusini)
- 청소년유해매체물에 '동성애' 삭제키로 오마이뉴스 2003.04.29 (Korea Kusini)
- 육우당(六友堂), ‘성소수자 해방’을 위해 지다 참세상 2008.05.01 (Korea Kusini)
- 나의 일곱번째 친구는 누구입니까 한겨레 2013.04.26 (Korea Kusini)
- 죽음으로 마감한 ‘커밍아웃’ Ilihifadhiwa 13 Desemba 2013 kwenye Wayback Machine. 시사저널 2003.05.15 (Korea Kusini)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yun Hyon-seok kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |