Youcef Dris

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Youcef Dris
Amezaliwa Youcef Dris
15 Oktoba 1945
Tizi Ouzou
Nchi Algeria
Kazi yake Mwandishi wa habari

Youcef Dris Ni mwandishi wa Algeria alizaliwa tarehe 15 Oktoba 1945 huko Tizi Ouzou.[1]

Alianza kazi ya uandishi wa habari mnamo mwaka 1970 akiandika machapisho kuhusu El Moujahid. Baadae alikuwa mhariri mkuu wa West Oran Tribune. Mnamo mwaka 2013, alichapisha insha ya kihistoria iliyotambulika kama "Le Combat des justes" iliyochapwa na El Ibriz. Insha hiyo inahusu heshima kwa wafaransa walioshiriki vita vya Algeria katika ngazi ya ukombozi wa kitaifa.[2]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Insha[hariri | hariri chanzo]

  • Les Massacres d'octobre 1961 (2009)
  • Le Combat des Justes (2013)

Riwaya[hariri | hariri chanzo]

  • Les Amants de Padovani (2004)
  • Affaires criminelles. Histoires Vraies ( 2006)
  • Biographie de Guerouabi (2008)
  • Destin à l'encre noire (2012)
  • "Le puits confisqué" (2010)

Ushairi[hariri | hariri chanzo]

  • Grisaille (1993)
  • Gravelures (2009)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Biographie de Youcef Dris". Africultures. 1945-10-25. Iliwekwa mnamo 2015-07-31. 
  2. "Youcef Dris (auteur de Les amants de Padovani) - Babelio". www.babelio.com (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2018-07-01.