Yassine Akkouche

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yassine Akkouche
Maelezo binafsi

Yassine Akkouche, anayejulikana pia kama Yacine Akkouche, (amezaliwa Julai 28, 1984) ni mchezaji wa soka wa Algeria. Kwa sasa anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya CA Bordj Bou Arréridj katika Algerian Ligue Professionnelle 2.[1]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Mwaka wa 2009 msimu wa kiangazi, Akkouche alihamia JS Kabylie kutoka ORB Akbou baada ya msimu mzuri ambapo alimaliza kama mfungaji bora wa timu na kuchaguliwa kama mchezaji bora.[2] Tarehe 28 Agosti 2009, alifanya debut yake kwa JS Kabylie katika mchezo wa ligi dhidi ya NA Hussein Dey.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Football Algérien". DZFOOT.COM. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo January 22, 2013.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate= (help)
  2. "JSK : Saïdi et Akkouche font leur baptême du feu : Le Buteur". www.lebuteur.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-02-11. Iliwekwa mnamo 2023-06-10.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
  3. DZFoot
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yassine Akkouche kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.