Singida Vijijini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Singida Vijijini)
Mahali pa Singida Vijijini (kijani) katika mkoa wa Singida.
Wilaya ya Singida Vijijini ni wilaya moja ya Mkoa wa Singida (Tanzania). Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 401,850 [1].
Marejeo [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Singida Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Kata za Wilaya ya Singida Vijijini - Mkoa wa Singida - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Dungunyi | Ihanja | Ikhanoda | Ikungi | Ilongero | Irisya | Issuna | Kinyeto | Maghojoa | Makuro | Mangonyi | Merya | Mgori | Mgungira | Minyughe | Misughaa | Msisi (Singida) | Mtinko | Mudida | Muhintiri | Mungaa | Mwaru | Ngimu | Ntuntu | Puma | Sepuka | Siuyu | Ughandi |
||