Singida (mji)
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Singida Mjini)
| Singida | |
| Mahali pa mji wa Singida katika Tanzania | |
| Anwani ya kijiografia: 4°49′12″S 34°44′24″E / 4.82°S 34.74°E | |
| Nchi | Tanzania |
|---|---|
| Mkoa | Singida |
| Wilaya | Singida Mjini |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 115,354 |
Singida ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Singida. Eneo lake ni wilaya ya Singida Mjini. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 115,354 [1].
Marejeo [hariri]
| Kata za Wilaya ya Singida Mjini - Mkoa wa Singida - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Ipembe | Kindai | Majengo (Singida) | Mandewa | Mitunduruni | Mtamaa | Mtipa | Mughanga | Mungumaji | Mwankoko | Unyambwa | Unyamikumbi | Utemini |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Singida (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |