Wilaya ya Kisarawe
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Kisarawe (kijani) katika mkoa wa Pwani.
Wilaya ya Kisarawe ni wilaya moja ya Mkoa wa Pwani. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 95,614 [1].
Marejeo [hariri]
| Kata za Wilaya ya Kisarawe - Mkoa wa Pwani - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Kisarawe • Msimbu • Masaki • Kibuta • Marumbo • Maneromango • Msanga • Marui • Cholesamvula • Vikumbulu • Mafinzi • Kuruhi • Mzenga • Vihingo • Kiluvya |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kisarawe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |