Wilaya ya Kibondo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kwa matumizi mengine ya jina hili angalia hapa
Mahali pa Kibondo (kijani) katika mkoa wa Kigoma.
Wilaya ya Kibondo ni wilaya moja ya Mkoa wa Kigoma. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 414,764 [1].
Marejeo[hariri]
| Kata za Wilaya ya Kibondo - Mkoa wa Kigoma - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Bunyambo • Busagara • Gwanumpu • Itaba • Kakonko • Kasanda • Kasuga • Kibondo Mjini • Kitahana • Kizazi • Kumsenga • Mabamba • Misezero • Mugunzu • Muhange • Murungu • Nyabibuye • Nyamtukuza • Rugenge • Rugongwe |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kigoma bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kibondo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |