Waamoni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Amon (kwa Kiebrania עַמּוֹן ʻAmmôn; kwa Kiarabu a=عمّون|t=ʻAmmūn), ni jina la kabila la zamani lililotawala upande wa mashariki wa mto Yordani, leo nchini Yordani.[1][2][3]
Mji muhimu zaidi wa Waamoni ulikuwa Rabbah au Rabbath Ammon, mahali pa Amman ya leo, makao makuu ya Jordan.
Waliabudu hasa Milkom na Molekh (pengine ni majina mawili ya mungu yuleyule).
Kwa mara ya mwisho uwepo wao unatajwa katika kitabu cha karne ya 2.
Tanbihi [hariri]
- ↑ Ancient Texts Relating to the Bible: Amman Citadel. University of Southern California. Rudishwa juu ya 2011-01-11.
- ↑ MacDonald, Burton; Randall W. Younker (1999). Ancient Ammon. BRILL, 1. ISBN 9004107622, 9789004107625.
- ↑ Levy, Tom; Øystein S. LaBianca and Randall W. Younker (1998). The archaeology of society in the Holy Land. Continuum International Publishing Group, 399. ISBN 0826469965, 9780826469960.
Viungo vya nje [hariri]
- Muller, Max and Kaufman Kohler. "Ammon, Ammonites." Jewish Encyclopedia. Funk and Wagnalls, 1901-1906.
- Hertz J.H. (1936) The Pentateuch and Haftoras. Deuteronomy. Oxford University Press, London.
- Ammon on Bruce Gordon's Regnal Chronologies (also at [1])