Vitória, Espírito Santo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jiji la Vitória | |
| Praça dos Namorados (Uwanda ya Valentine au Valentine's Square). | |
| Anwani ya kijiografia: 20°19′08″S 20°19′08″W / 20.31889°S 20.31889°W | |
| Nchi | Brazil |
|---|---|
| Kanda | Southeast |
| Jimbo | Espírito Santo |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 320,156 |
| Tovuti: www.vitoria.es.gov.br | |
Vitória ni jina la mji mkuu wa jimbo la Espírito Santo katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 320,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 12 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Viungo vya nje [hariri]
- (Kireno) Tovuti rasmi
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Vitória, Espírito Santo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |