Vikoza
Mandhari
Vikoza ni kitongoji katika kata ya Tchenzema, tarafa ya Mgeta, Wilaya ya Mvomero ya mkoa wa Morogoro.
Uchumi
[hariri | hariri chanzo]Watu wa Vikoza wamejikita zaidi katika kilimo. Mazao ambayo wakulima hao huyalima ni pamoja na mahindi, maharage, viazi vya aina zote, matunda na kadhalika.