Vanessa Echols

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vanesa Lorraine Echols
Amezaliwa 8 Novemba 1960
Alabama
Kazi yake mtangazaji /mwandishi wa habari


Vanessa Lorraine Echols amezaliwa(Novemba 8, 1960) ni mtangazaji na mwandishi wa habari wa kwenye televisheni katika kituo cha WFTV kilichopo katika jimbo la Florida.

Echols alizaliwa katika jimbo la Alabama, na kusoma katika shule ya Auburn High School na kusomea uandishi wa habari katika chuo kikuu cha University of Alabama, kisha akafanya kazi katika kituo cha radio cha Alabama, baadaye akajiunga na kituo cha runinga cha WMAZ-TV katika jimbo la Georgia.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vanessa Echols kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.