Uwanja wa michezo wa Mmabana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Mmabana ni uwanja unaotumika kwa matumizi mbalimbali uliopo Thaba 'Nchu, nchini Afrika Kusini. Mara nyingi uwanja huu umekuwa ukitumika hasa katika mechi za mchezo wa mpira wa miguu na pia kama uwanja wa nyumbani wa mji wa Mangaung.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Mmabana kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.