Uwanja wa michezo wa Mandela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa michezo Mandela


Uwanja wa michezo wa Mandela ni uwanja wenye shughuli mbalimbali za kimichezo nchini Uganda. Ulipewa jina hilo la Rais wa Afrika Kusini, Nelson Mandela kwa kupinga ubaguzi wa rangi.[1] Rekodi ya mahudhurio ya uwanja huo iliwekwa mnamo mwaka 2004, katika mechi ya mpira wa miguu kati ya timu za taifa ya Uganda na Afrika Kusini.[2]

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Bakama, James (7 Desemba 2013). "Ugandan sports will miss Mandela". New Vision. Kampala. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-20. Iliwekwa mnamo 26 Oktoba 2016. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. https://www.11v11.com/teams/uganda/tab/stats/option/attendances/
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Mandela kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.