Uwanja wa michezo wa Georg Thabe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja michezo wa George Thabe ni uwanja wa michezo wenye matumizi ya mara kwa mara huko Sharpeville Gauteng Afrika Kusini. Unatumika kwa sasa kwa michezo ya mpira wa miguu (soka) na ni uwanja wa nyumbani wa Real Barcelona FC katika Ligi ya Vodacom.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Georg Thabe kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.