Uwanja wa michezo wa Derna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Derna ([[Kiarabu ملعب درنة) ni uwanja wa michezo wenye matumizi mbalimbali huko mjini Derna nchini Libya. Kwa sasa hutumika kwa michezo ya soka. Na ndio uwanja wa nyumbani wa kilabu ya Darnes na Afriqi.Uwanja una uwezo wa kuchukua idadi ya watu 7,000.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "World Stadiums - Stadiums in Libya". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-06-25. Iliwekwa mnamo 2021-06-10. 
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Derna kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.