Uwanja wa michezo wa Awassa Kenema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa michezo wa Awassa.

Uwanja wa michezo Hawassa Kenema ni uwanja unaotumika katika matumizi mbalimbali ya michezo na unapatikana huko Awassa katika nchi ya Ethiopia. Uwanja huu hutumika zaidi michezo kama mechi za mpira wa miguu na hutumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya mpira wa miguu ya Awassa City FC. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 60,000 kwa wakati mmoja.[1]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Uwanja huo uliandaa mechi za vikundi vya Kombe la shirikisho Afrika CECAFA 2015. .[1] Uwanja huo uliandaa mchujo wa timu ya Taifa ya Ethopian ya 2017 AFCON dhidi ya Shelisheli mnamo Septemba 2016 baada ya kupewa idhini kutoka Shirikisho la Soka Afrika CAF. ]].[1]. Uwanja huo uliandaa ushindi wa Wolaitta Dicha SC Wolaitta Dicha dhidi ya timu ya Misri Zamalek SC Zamalek (2-1) katika mchezo wa kwanza wa raundi ya awali ya Kombe la Shirikisho la CAF 2018 | 2018 Kombe la Shirikisho la CAF. ]].[2] Mnamo mwaka 2018, uwanja huo uliandaa mechi ya kufuzu ya 2019 Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON iliyochezwa kati ya Ethiopia na Sierra Leone .[3] Mnamo Aprili 2018, uwanja huo uliandaa mkutano wa hadhara kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed ambapo umati wa watu 60,000 walihudhuria. .[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 Berhanu, Markos (July 26, 2016). "Hawassa International Stadium to host Ethiopia’s last AFCON Qualifier".  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date= (help)
  2. Etyopia, Zecharias. "David outlasts Goliath in Cairo as Ethiopia’s Wolaita Dicha dump Egyptian giants Zamalek out of CAF Confederations Cup", Ethiosports, March 19, 2018. 
  3. Scriven, David (September 9, 2018). "Osman Kakay makes international debut". QPR.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date= (help)
  4. "Premier’s Visit to Hawassa Step towards Alleviating Public Grievances: Residents", Ethiopian News Agency, April 26, 2018. 
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Awassa Kenema kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.