Uwanja wa michezo wa Al Djigo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Alassane Djigo ni Uwanja wa michezo unaotumika kwa shughuli mbalimbali na unapatikana uko Pikine, nchini Senegal.Kwa sasa unatumika zaidi kwa mchezo wa mpira wa miguu na klabu ya AS Pikine unautumia uwanja huu kama uwanja wa nyumbani. Una uwezo wa kuingiza watu 10,000. Mda mwingine klabu ya AS Douanes utumia uwanja huu kucheza mechi zao.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Mashindano pekee makubwa yaliyofanyika kwenye uwanja huu ni yale ya mabara Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka 2015 ambapo mechi mbili zilifanyika hapo.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Al Djigo kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.