Uwanja wa Michezo wa Northdale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Michezo wa Northdale ni uwanja wa shughuli za kimichezo mbalimbali huko Pietermaritzburg, Kwa Zulu-Natal nchini Afrika Kusini. Hivi sasa hutumika zaidi katika mpira wa miguu (soka) na ndio uwanja wa nyumbani wa kilabu ya Maritzburg City katika Ligi ya Vodacom.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Northdale kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.