Utsunomiya, Tochigi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Utsunomiya | |||
| Kamagawa (Mto Kamo) katika Utsonomiya | |||
|
|||
| Mahali pa mji wa Utsonomiya katika Japani | |||
| Anwani ya kijiografia: 36°33′00″N 139°52′00″E / 36.55°N 139.866667°E | |||
| Nchi | Japani | ||
|---|---|---|---|
| Kanda | Kantō | ||
| Mkoa | Tochigi | ||
| Idadi ya wakazi | |||
| - Mji | 509,931 | ||
| Tovuti: http://www.city.utsunomiya.tochigi.jp/ | |||
Utsunomiya (宇都宮市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Tochigi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2010, mji una wakazi wapatao 510,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 105 kutoka juu ya usawa wa bahari. Eneo lake ni 416.84 km².
[hariri] Viungo vya nje
| Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Utsunomiya, Tochigi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |