Upandaji miti Costa Rica

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Misitu mingi nchini Kosta Rika ilikatwa kwa ajili ya kuwezesha kilimo na ukataji wa magogo, kuanzia miaka ya 1940.

Kuanzia miaka ya 1990 mingi ilikuwa imepotea hivyo wakajaribu kuanzisha mikakati miwili ya kuifufua.

Ni kinyume cha sheria kusafisha misitu bila kibali husika na waliweka malipo kwa huduma za kiekolojia amabayo ilileta njia ya mapato ya kulinda na kutunza misitu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]