Ummy Wenceslaus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ummy wensceslaus
Amezaliwa
Tanzania
Nchi Tanzania
Kazi yake msanii wa muziki wa injili na filamu

'Maandishi ya kooze'Ummy Wenceslaus (maarufu kama Dokii) ni msanii wa muziki wa Injili na filamu nchini Tanzania.

Alipata umaarufu kutokana na kupenda kwake kuigiza lafudhi ya Kikenya katika michezo ya maigizo na filamu.[1]

Filamu[hariri | hariri chanzo]

  1. Busu
  2. Faith More Fire
  3. Lonely Heart
  4. Hard Love Moro
  5. Yolanda
  6. MachepeleMaandishi ya kooze

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-09. Iliwekwa mnamo 2018-12-01. 
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ummy Wenceslaus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.