Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1944

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1944 ulikuwa wa 40 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 7 Novemba. Upande wa "Democratic Party", Rais Franklin D. Roosevelt (pamoja na kaimu wake Harry S. Truman) alimshinda mgombea wa "Republican Party" Thomas E. Dewey (pamoja na kaimu wake John Bricker).

Matokeo[hariri | hariri chanzo]

Roosevelt akapata kura 432 na Dewey 99. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.