Thenia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Thenia
Majiranukta: 3°33′14″N 36°43′40″E / 3.55389°N 36.72778°E / 3.55389; 36.72778
Nchi Algeria
Kaunti Boumerdès
Daira Thenia
Tovuti:  thenia.net

Thenia (kwa Kiarabu: الثنية) ni mji ulio kaskazini ya Algeria yenye wakazi takriban 32.000 (2018), kilomita 53 mashariki mwa Algiers. Ilijulikana kama Menerville wakati wa ukoloni wa Ufaransa.[1]

Watu mashuhuri[hariri | hariri chanzo]

  • Sidi Boushaki (1394-1453), Mwanazuoni wa kidini, mkalimani, mwanasheria, mwanaisimu na sufi

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Thenia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.