The Headies 2010

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Toleo la tano la Tuzo za Dunia la Hip Hop lilifanyika mnamo tarehe 16 mei 2009 katika Hoteli ya Eko na suites katika Kisiwa cha Victoria,Lagos. Sherehe ilifanyika bila mwenyeji.Wande coal ndiye aleyekua mshindi mkubwa zaidi wa usiku huo akiwa na tungo tano.Don jazzy alishinda tuzo ta Mtayarishaji bora wa mwaka.Wana Hip hop wawili Skuki walishinda kitengo cha Next Rated.[1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Music, Glamour & Lots of Yellow as Wande Coal & Da Grin dominate the 2010 HipHop World Awards". Bellanaija. 2 June 2010. Iliwekwa mnamo 16 May 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. Lawal, Habeeb (6 April 2010). "Hip Hop Awards 2010 Nominee List!". underDaRock.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-10-06. Iliwekwa mnamo 16 May 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. Fagbule Olanike|Fagbule, Nike (10 May 2010). "Hiphopworld Awards To Honour Dagrin". Nigerian Entertainment Today. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-05-30. Iliwekwa mnamo 16 May 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)