Thapelo Mokoena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Thapelo Mokoena

Amezaliwa Thapelo Mokoena
21 October 1982
Afrika kusini
Nchi Afrika kusini
Majina mengine William au Thapelo


Thapelo Mokoena ni mwigizaji na mtayarishaji na mwasilishaji wa vipindi vya video kwenye runinga nchini Afrika ya Kusini.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Thapelo Mokoena,
Thapelo Mokoena,

Anajulikana kwa uhusika wake kwenye ufalme wa muungano wa Bulletproof S3 kama William. Tamthilia ya Trackers iliwakilisha msimu wa kwanza wa toleo la ushindani wa kweli kama Fear Factor mwaka 2005, Afrika ya kusini.[1] Thapelo Mokoena anajulikana kwa uhusika wake kama Cedric Fatani kwenye Wild at Heart kutoka 2007 mpaka 2012. Pia alicheza kama Elias Motsoaledi kwenye filamu ya Mandela: Long Walk to Freedom mwaka 2013. Nimmiliki wa kampuni ya uzalishaji ya Easy Sundays Productions. Amekuwa akicheza katika filamu kadhaa na matangazo ya televisheni, ambayo ni Between Friends: Ithala. Pia anaigiza kwenye Broken Vows kama Uhuru. Pia aliigiza kwenye Mrs Nice Guy mwaka 2016.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Thapelo Mokoena". The South African TV Authority. 
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thapelo Mokoena kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.