Teresia Mbaika Malokwe
Teresia Mbaika Malokwe (née Teresia Mbaika) ni mwanamazingira na mwanauchumi wa afya kutoka Kenya, ambaye anahudumu kama katibu wa "Hazina ya Kitaifa ya maendeleo ya Serikali - eneobunge" (NG-CDG) kwa eneo bunge la Kaiti, kaunti ya Makueni, iliyopo mashariki mwa Kenya.[1]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ The Kenya Gazette (4 June 2013). "The Kenya Gazette: Published by Authority of the Republic of Kenya: Constituencies Development Fund Act of 2013: Gazette Notice No. 7496: Page 2953: Kaiti Constituency". Nairobi: Kenya Law Society. Iliwekwa mnamo 21 March 2019. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help)