Tamron Hall

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tamron Hall 2017
Tamron Hall akiwa Kapeti jekundu Marekani

Latrise Hall (alizaliwa 16 Septemba 1970) ni Mmarekani mwandishi wa habari, mtangazaji na mzungumzaji katika kipindi cha runinga.

Mnamo mwezi wa tisa mwaka 2019, Hall alijitokeza katika kipindi cha mchana cha mazungumzo. Hall alikua mwanahabari wa kitaifa kwa habari za NBC na MSNBC, na muongozaji wa programu moja kwa moja MSNBC ya Tamron Hall, na akiwa muongozaji wa kipindi cha leo chukua. Yeye aliandaa tarehe ya mwisho, na alikua muongozaji katika tarehe ya kituo Cha uchunguzi. katika kipindi cha joto 016, ulipatikana uchunguzi mpya wa majeshi maalumu,  ikiwa na bunduki kituon, Tamron Hall alichunguza ambacho alikumbuka maadhimisho ya miaka hamsini ya risasi katika chuo Kikuu cha antinous

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Hall alipata stashahada ya sanaa katika uandishi wa habari kutoka chuo Kikuu cha Temple mnamo mwaka 1992, na baadae kuHamia eneo la Dallas-Fort Worth ili kuanzisha kazi yake ya utangazaji wa habari.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Hall hapo mwanzo alifanya Kazi ya  KBTX katika Bryan, Texas, akiwa mwandishi kwa ujumla, pia aliamia  KTVT  mnamo mwaka 1994, ambalo alidumu kwa miaka mingi akiwa mwandishi wa moja kwa moja.[1]

Kuanzia mwaka 1997 mpaka 2007, alifanya kazi kwa WFLD-TV ya Chicago, Illinois. alishikilia nafsi mbalimbali kama mwandishi wa moja kwa moja,mtumishi na mwenyezi wa kipindi Cha masaa matatu , "mwendeshaji wa kipindi Cha asubuhi".kama mkazi wa Chicago, Hall Mara kwa Mara alitoa habari kuhusiana na siasa za Chicago,na na zilichukua habari mpya , stori kama zaidi devastating Amtrak accidents ya  Illinois.[1]

Mnamo mwezi wa saba mwaka 2007, Hall alijiunga na mtandao wa habari za kitaifa ya MSNBC na NBC News.MSNBC.[2] na pia liingia kwenye mahojiano ya moja kwa moja na Barack Obama  kabla ya kuhaidiwa kugombea uraisi ya mwaka 2008.

Katika  MSNBC, Hall alijulikana kama mwandishi mkuu na mmahili,akiwa wa kwanza katika kumbukumbu za umaarufu kama mmahili mbadala wa  Keith Olbermann ya Countdown with Keith Olbermann. Hall pia alijiunga na David Shuster kama mwenyezi mwenza wa programu ya masaa mawili Ni picha kubwa ambayo ilionyeshwa mnamo tarehe 1 mwezi wa sita mwaka, 2009,na kuitimishwa mnamo tarehe 29 mwezi wa kwanza mwaka 2010. Hall ni mmahili mwenza kwa Natalie Morales, na pia alikua mmahili wa wikiendi

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 "Tamron Hall Biography". MSNBC. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo October 4, 2014. Iliwekwa mnamo September 8, 2019.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. Koblin, John. "Tamron Hall Leaves 'Today' Show and MSNBC", The New York Times, February 1, 2017. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamron Hall kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.