Sudais Ali Baba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sudais Ali Baba (alizaliwa 25 Agosti 2000) ni mwanasoka wa kulipwa kutoka Nigeria ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Ugiriki Panserraikos katika ligi ya 2.[1]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Kupitia mfumo wa vijana, Ali Baba alitia saini mkataba na timu ya Super League ya Ugiriki ya Asteras Tripolis mnamo tarehe 28 Novemba 2018. .[2]

Mtindo Anaocheza[hariri | hariri chanzo]

Ali Baba anaweza kucheza kama mshambuliaji au winga..[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Uku, Aley Rabs Unguwa (2021-03-17). "Dan wasan Najeriya: Tsatson Jahar Kano Sudais Ali Baba na cigaba da haskawa". Fagen wasanni (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-04-17. Iliwekwa mnamo 2021-05-28.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  2. "ΑΚΑΔΗΜΙΕΣ: Έξι νέοι επαγγελματίες στον ΑΣΤΕΡΑ (video & photos)". Asteras Tripolis F.C. 28 November 2018. Iliwekwa mnamo 28 May 2021.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. "Ανακοίνωσε Αλί Μπαμπά η Ξάνθη - 18/01 22:21". aek365.org (kwa Kigiriki). Iliwekwa mnamo 2022-01-19. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sudais Ali Baba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.