Sofyan Amrabat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sofyan Amrabat

Sofyan Amrabat ([1] alizaliwa 21 Agosti 1996) ni mchezaji wa kandanda ambaye anacheza kama kiungo wa timu ya taifa ya Seina A na klabu ya Fiorent.

Ushiriki Katika Klabu[hariri | hariri chanzo]

Sofyan alizanza uchezaji wake mkuu katika klabu ya Utrecht mnamo 2014, Amrabat alihamia klabu ya Feyenoord mnamo 2017. Baada ya msimu mmoja, alijiunga na Club Brugge, kabla ya kutumwa kwa mkopo Italia huko katika klabu ya Hellas Verona mnamo 2019.

Ushiriki Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Timu ya vijana ya Uholanzi Amrabat alizaliwa Uholanzi kwa wazazi wenye asili ya Morocco. Kwanza aliwakilisha Uholanzi katika kiwango cha chini ya miaka 15.[2]

Maisha Binafsi[hariri | hariri chanzo]

Sofyan ni kaka wa Nordin Amrabat mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Morocco . [3]

Takwimu za Ushiriki[hariri | hariri chanzo]

Klabu Hadi mechi iliyochezwa tarehe 7 Juni 2023 [4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sofyan Amrabat kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.