Sofya Berultseva

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwanamichezo ya karateka Sofya Berultseva
Mwanamichezo ya karateka Sofya Berultseva

Sofya Berultseva (Kirusi: Софья Берульцева, alizaliwa 6 Novemba 2000) ni mshindi wa medali ya shaba kutokea Kazakhstan katika Olimpiki ya karateka, anawakilisha Kazakhstan kimataifa katika hafla za Kumite (Karate).[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "WKF Ranking". accreditation.qtixx.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-03. Iliwekwa mnamo 2021-12-03.