Softonic.com

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Softonic.com ni programu ya kompyuta iliyoanzishwa mwaka 1997 na inayomilikiwa na Softonic International. Inakaribia watumiaji 100,000,000(milioni 100) kwa mwezi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]