Sintaksi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sintaksi (au sarufi miundo) ni tawi la isimu au taaluma ya sarufi inayoshughulikia namna ambavyo vikundi vya maneno na sentensi mbalimbali zinajengwa katika lugha. Taaluma nyingine za sarufi ni pamoja na fonolojia, mofolojia au semantiki.
[hariri] Marejeo
- TUKI 1990, "Kamusi Sanifu ya Isimu na Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
- Massamba, David 2004, "Kamusi ya Isimu na Falsafa ya Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
[hariri] Tazama pia
| Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sintaksi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |