Silje Lundberg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Silje Lundberg
Silje Lundberg
Silje Lundberg
Alizaliwa [13 Aprili 1988
Nchi Oslo
Kazi yake Mwanamazingira

Silje Ask Lundberg (alizaliwa 13 Aprili 1988 huko Oslo) ni mwanamazingira kutoka Norwei na mwenyekiti wa Jumuiya ya Kinorwe ya Uhifadhi wa Asili (Norwegian Society for the Conservation of Nature) ambayo pia hujulikana kama Friends of the Earth Norway.[1]

Ni kiongozi wa zamani wa shirika la vijana la Nature and Youth (Asili na Vijana).[2] Alilelewa huko Harstad Kaskazini mwa Norwei. Kabla ya uongozi wake amekuwa naibu mwenyekiti na amekuwa akifanya kazi kwa mashirika mengine ya mazingira, kama vile ZERO na Bellona Foundation.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Silje Ask Lundberg valgt som leder", naturvernforbundet.no. Retrieved on 2023-06-24. (no-no) Archived from the original on 2017-10-23. 
  2. "Executive Committee of Nature and Youth 2013". Nature and Youth (kwa Norwegian). Iliwekwa mnamo 3 October 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Silje Lundberg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.