Shule yasekondari Goba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shule ya Sekondari ya Goba ni shule ya sekondari ya jamii katika wadi ya Goba, Wilaya ya Ubungo, Mkoa wa Dar es salaam, Tanzania.[1] Iko katika barabara ya Kinzudi karibu kilomita 7 kutoka barabara kuu ya Bagamoyo huko Tangibovu.

marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Goba". web.archive.org. 2014-12-05. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-12-05. Iliwekwa mnamo 2021-06-21.